Youtube videosMziki

Lord music – Kubali | Video

Baada ya audio ya Lord music – Kubali kugonga vichwa vya habari, Hatimaye Video yake imeachika rasmi. Ni video iliyofanywa kwa utaratibu mzuri na tunaweza sema ni video ya kipekee.

Lord music alianza usanii zamani kidogo Ila alikuwa bado hajajulikana sana. Nyimbo yake kubali imemueka pahali pazuri sana na huenda akawa msanii mkubwa sana kuwahi kutokea katika Sanaa ya mziki wa bongo.

Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news tunataka uwe wa kwanza kuitazama video ya Lord music – Kubali kwa kubonyeza link iliyoko hapa chini. Asanteni kwa kuwa wafuasi wa mwangaza news.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *