Sanaa

Kelechi Africana na Arrow Bwoy waachia Hamida video

Hata Kama Kuna janga la Corona, wawili hawa hawajazuiliwa kuachia kazi. Mziki kwao ni kazi na hakuna kitakachozuia. Ushirikiano wao umeleta ladha tofauti kwenye mziki. Hamida kutoka kwa kelechi Africana na Arrow Bwoy ni moja ya zile kazi Safi.

Kelechi Africana ni mzaliwa wa mkoa wa pwani na vilevile Arrow Bwoy anasemekana kutokea huko huko japo wengi walidai ametokea Uganda Ila Kulingana na habari za kuaminika ni kuwa Arrow Bwoy ametokea pwani.

KELECHI AFRICANA FT ARROW BWOY- HAMIDA

Video ya Kelechi Africana na Arrow Bwoy : Hamida

Hamida ni nyimbo ya clubbing na bilashaka imepokelewa vizuri na wakenya kwani tunavyoongea Sasa video hii imepata views mingi kwa YouTube. Video ya Hamida ni ya kiwango Cha juu sana na huenda ikapiga hatua kubwa sana. Itazame hapa kwa Mara ya kwanza

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *