Youtube videosMziki

Khaligraph Jones – Champez

Khaligraph Jones – Champez ndio taarifa ya mjini nchini kenya. Msanii huyu Anajulikana kupiga mziki wa rap mwendo wa Kasi sana na ukimsikiza utafikiri katokea marekani.

Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news kuwa wa kwanza kuitazama video ya Khaligraph Jones – Champez upate burudani ya kukata na shoka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *