InternationalMzikiSanaa

Lavalava ft. Mbosso Basi tu

Lavalava ft. Mbosso Basi tu ndio habari ya mjini, naweza sema wahindi wawili wamekutana na unajua kabisa wawili hawa ni moto wa kuotea mbali.

Lavalava ft. Mbosso Basi tu ni nyimbo moja Kati ya zile nyimbo Kali zimeachiliwa hivi karibuni na video yake imeelekezwa vizuri na tunaweza sema burudani iliyoko pale ni ya hali ya juu

Kwa Mara ya kwanza itazame video ya wawili hawa, Lavalava ft. Mbosso Basi tu hapa mwangaza news nawe uweze kuipata burudani ya kukata na shoka

Soma hii pia : tazama nyumba mpya ya diamond platnumz

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *