SanaaYoutube videos

Otile brown ft jovial – Jeraha

Otile brown ft jovial – Jeraha ni Kazi nzuri sana na naweza sema wawili hawa wakishikana wanafanya Kazi nzuri sana.

Sio Mara ya kwanza kwani wamekuwa wakifanya Kazi pamoja. Kuna mda otile brown ilisemekana amemchukua jovial kwa label yake Ila baadae ikawa mambo sivyo. Wawili hao waligonga vyombo vya habari baada ya otile brown kumzawadia jovial gari.

Kwa Mara ya kwanza sikiza na utazame Otile brown ft jovial – Jeraha hapa mwangaza news ili uweze kupata burudani ya kukata na shoka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *