Mchipuko

Rais pombe magufuli awaonya wanahabari kutoka nchi za kigeni

Rais pombe magufuli amewaonya wanahabari kutoka nchi za kigeni kutoandika habari zenye hazina ukweli haswa wakati huu wa janga la corona. Magufuli ameomba wanahabari kabla waandike habari hizo wafanye utafiti mzuri maana wanapoandika habari za uongo wanaongeza wasiwasi kwa wanatanzania. Magufuli amesema vifo vinavyotangazwa na baadhi ya vyombo vya habari sio vya kweli.

Rais pombe magufuli amewataka wanainchi wa tanzania kutokuwa na hofu kwani kila kitu kitakuwa sawa huku akiwahimiza wasifuatilie habari zinazoandikwa na mitandao yote. Aliongeza kuwa itakuwa vigumu kufunga Darlesalam kwani wengi wanaitagemea na pia darlesalam pia yategemea sehemu zingine za nchi. Amehimiza wanaichi waendelee na maombi kwani ndio njia ya kipekee ya kukomesha janga hili.

soma hii pia (Barua rasmi kwa coronavirus)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *