Youtube videosMziki

Rayvanny – wanaweweseka

Rayvanny – wanaweweseka ndio habari ya mtaa. Rayvanny ameamua kufanya video na Paula anayesemekana kuwa mpenzi wake kwa sasa.

Kulingana na nyimbo ya Rayvanny mpya, anawapasha wenye hawapendi kumuona na Paula. Labda hii nyimbo inamwendea Harmonize ambaye pia alimtaka Paula baada ya kuwa na kajala ambaye ni mamake Paula.

Kwa Mara ya kwanza tazama Rayvanny – wanaweweseka hapa mwangaza news upate burudani ya kipekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *