MaishaSanaa

“Sonko” aamua kufunga ndoa na aliyekuwa rafikiye marehemu mkewe

Msanii maarufu mjini mombasa anayejulikana Kama Dansonko ameeka wazi kuwa Yuko tayari kumuoa Bwire. Kulingana na utafiti wetu, Bwire alakuwa rafiki wa karibu wa mke wa Dan sonko.

Mke wa Dan sonko aliaga dunia miaka tatu iliyopita na kuacha watoto wawili. Dan sonko alichukua jukumu la kuwalea na mda umefika kutafuta mwenzake ili wasaidiane hilo jukumu.

Marafiki wake wa karibu wamezua hisia tofauti, wengi wakikubali uamuzi wake wengine wakikashifu. Dan sonko aliweza kujitetea huku akisema amechukua mda sana kufanya uamuzi. Amemtaja Bwire Kama mwanamke anaye muelewa zaidi na Ana uhakika uhusiano wao utachangia pakubwa kwenye maisha yake.

Hapa katikamwangaza tunawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *