MzikiYoutube videos

Spice Diana Ft Zuchu – Upendo | Video

Baada ya kuachia audio, video ya Spice Diana Ft Zuchu – Upendo ipo hewani. Ni kazi nzuri iliyofanywa na wanadada hawa wawili.

Zuchu hivi majuzi aliachia single yake ya Yalaaaa ambayo inafanya vizuri. Spice Diana naye ana kazi nyingi zinazofanya vizuri na hii inaweza kuwa sababu ya Zuchu na wasafi kwa jumla kukubali kufanya Kazi na yeye.

Kwa sasa pata burudani hapa mwangaza news kwa kuitazama video ya Spice Diana Ft Zuchu – Upendo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *