MaishaSiasa

Utajiri wa Raila Odinga

Wengi hawana ufahamu Utajiri wa Raila Odinga, ni mwanasiasa anayejulikana ulimwengu mzima na hakuanza yeye kwa familia kwani babake alikuwa mwanasiasa pia. Raila odinga ni mwanasiasa anayejiamini sana na bila shaka haogopi chochote katika siasa za nchi na za ulimwengu mzima kwa jumla.

Raila odinga ana miliki mamilioni ya pesa na ana kampuni zaidi ya tatu zinazoingiza hela nyingi sana kila mwezi. Familia yake na ya Uhuru Kenyatta hazijaachana sana kwa utajiri. Kampuni ya Spectre International Limited humilikiwa na familia hii ya Raila odinga na kulingana na utafiti wetu, kampuni hii inagharimu bilioni mbili na laki nane.

Utajiri wa raila odinga Spectre International Limited

zidi kufahamu Utajiri wa Raila Odinga

Kampuni nyengine yenye umiliki wa familia hii ni East Africa spectre yenye ina dili na mitungi ya gesi. kampuni hii ilianzishwa na babake na thamani yake ni shilingi millioni mia tano. Nyumba ya mwanasiasa huyu ilioko karen ina thamani ya zaidi ya milioni hamsini. Raila odinga hana nyumba moja, pia ana nyumba nyengine Runda yenye thamani ya milioni kumi na tano

Raila Odinga’s Multibillion”State-House”in Riat Hills Kisumu

Raila odinga pia anamiliki ndege za kipekee mbili na pia kampuni ya Pan African Petroleum Company inamilikiwa na familia yake.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *