Youtube videosMziki

Video | Mayorkun – Let me know

Video | Mayorkun – Let me know ndio habari ya mjini. Mayorkun ni msanii kutokea nchi ya Nigeria na mtindo wake ni kama ule wa Wizkid.

Nyimbo yake mpya let me know inapata utazamaji mkubwa bara la afrika ambapo huku Kenya imeshika zaidi.

Kwa Mara ya kwanza, tazama Video | Mayorkun – Let me know hapa mwangaza news.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *