Sanaa

Video mpya ya zuchu

Ni msanii anayepelekwa mwendo wa kasi sana na kama umekuwa ukifuatilia wasafi wanaachia Video mpya ya zuchu karibu kila wiki. Uzuri uliopo ni kwamba, mwanamziki huyu kutoka wasafi anao wafuasi tayari hii inamanisha anapoachia kazi mpya anapata watu wengi sana wanaoingia kwenye youtube na kumpatia support inayostahili.

Kwa sasa dada huyu amepata views zaidi ya millioni nane kwa you tube channel yake na ni kweli kabisa ashawapita wasanii wengi pale wasafi walioanza kabla ya yeye. Swali ni, mafanikio yake imetokana na kuwa amezaliwa kwa familia ya mziki ama ni mskumo anaoupata kwa meneja wake ambaye ni diamond platinumz?

Hivi majuzi aliachia kazi mpya inayojulikana kama raha ambayo inazidi kupata utazamaji duniani kote na kama kungekuwa hakuna hili janga la corona, basi mwanadada huyu angekuwa amepiga show hata za kimataifa kwani usimamizi wake haubahatishi hata kidogo

Tazama Video mpya ya zuchu kwa kubofya hapa

Soma hii pia (Babake diamond aomba msaada)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *