MzikiYoutube videos

Willy Paul x Juliani – Nomare

Willy Paul x Juliani – Nomare ndio Kazi mpya inayotamba kwa sasa kwenye mitandao. Kumbuka ni Jana tu juliani na lilian nga’ng’a walieka wazi kwamba wako kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Nyimbo hii mpya ya willy Paul na juliani sio wengi walikuwa wakiingojea Ila naweza sema imekuwa mda mzuri sana wa kuachia Kazi mpya kwani kwa sasa juliani ni msanii aneongelewa sana kuhusiana na madai kwamba alichangia Alfred Mutua na lilian nga’ng’a kuachana.

Ili kutazama Willy Paul x Juliani – Nomare, bonyeza link hapa chini upate utamu wa mziki uliokomaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *