MzikiYoutube videos

Zuchu – Kitu ft Bontle Smith & Tyler icu (Official Audio)

Kitu yake msanii ndio nyimbo iliyoachiwa hivi Leo. Zuchu ameshirikisha wasanii kama vile bontle smith pamoja na Tyler ICu.

Zuchu – Kitu ft Bontle Smith & Tyler icu imeanza kupenya kwa Kasi sana. Maneno yaliyotumika pale ni mazito yenye maana fiche. Ni kwa mda Zuchu hajaachia kazi yake ila majuzi tu aliachia kazi alioyoshirikishwa na Mbosso ambaye ni msanii mwenzake pale wasafi.

Ili kuisikiza nyimbo ya Zuchu – Kitu ft Bontle Smith & Tyler icu, bonyeza link ifuatayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *