Youtube videosMziki

Nay Wa Mitego – Hunijui | Video

Nay Wa Mitego – Hunijui ndio habari ya mjini. Kama Kawa msanii huyu wa kufoka haogopi yeyote na kama ni kuandika ataandika chenye akili yake yataka.

Nay wa Mitego amekuwa kwa mziki kwa mda ni mmoja wa wale wasanii wakongwe wa mziki wa bongo. Ili kuitazama video ya Nay Wa Mitego – Hunijui, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *