Youtube videosMziki

Anjella ft Harmonize – Toroka

Wasanii kutoka Tanzania wameamua kuachana na mila na kuamua kufanya mziki wa afrika kusini. Amapiano ndio mpango mzima nchini humo. Anjella ft Harmonize – Toroka ndio Kazi ilioachika na imefanywa na mtindo wa amapiano.

Sijui mziki wa Tanzania waelekea wapi ila kwa maoni yangu huu mziki wa amapiano huenda ukaharibu mziki wa bongo flava na ningependa kumwambia Anjella kwamba mziki aliokuwa akifanya ni mzuri kuliko huu wa amapiano.

Ili kusikiza wimbo wa Anjella ft Harmonize – Toroka, bonyeza hapa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *