Youtube videosMziki

Lava Lava – Ng’ari Ng’ari | Video

Lava Lava – Ng’ari Ng’ari video iko hewani na unaweza ukaitazama hapa mwangaza. Lavalava amekuwa akiachia kazi baada ya Kazi na kusema kweli ako na uwezo mkubwa sana wa kuandika nyimbo.

Kuna mda aliwahi kukosoa management yake kwa kutomshughulikia kama wasanii wenzake ambao ni akina Mbosso, Zuchu na Rayvanny. Ili kuitazama video ya Lava Lava – Ng’ari Ng’ari bonyeza link ifuatayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *