MzikiYoutube videos

Bahati & Otile Brown – Je unanifikiria

Baada ya kukaa kimya kuhusu sakata ya Diana Marua na Willy Paul, Bahati ameamua kuachia nyimbo mpya akishirikiana na Otile Brown. Bahati & Otile Brown – Je unanifikiria ndio habari ya mjini ambayo kila mtu anataka kujua ameongelea kuhusu nini.

Otile Brown ni msanii ambaye anafuatilia sana na kila akiachia nyimbo hupata utazamaji mkubwa sana ndani ya youtube. Ili kuweza kuitazama video ya Bahati & Otile Brown – Je unanifikiria, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *