Youtube videosMziki

Mabantu ft Harmonize – Utamu Remix

Kumbe harmonize pia ni mkali kwa mziki wa kufoka. Mabantu ft Harmonize – Utamu Remix ndio nyimbo mpya ambayo harmonize ameamua kuja kitofauti ni vile wengi wamemzoea.

Japo hii nyimbo ya Utamu ilikuwepo, mabantu na harmonize wameamua kuifanyia remix na kwa kweli imekuwa tamu zaidi. Ili kutazama video ya Mabantu ft Harmonize – Utamu Remix, bonyeza link ilioko hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *