Mtaachana tuu – Bahati Ft. Diana Marua
Mtaachana tuu – Bahati Ft. Diana Marua ni nyimbo mpya iliyoachiliwa hivi leo. Kabla ya hii nyimbo wengi walifikiria wawili Hawa wameachana. Ni juzi tu Diana Marua alidai kuwa ame unfollow bahati ila inaonekana hii ilikuwa kiki tu ya kuachia kazi mpya yao mtaachana tu aliyoshirikisha diana marua.
Video ni ya kimataifa na imefanyiwa ndani ya ndege na baadae wameonekana kwa gari la kifahari na kumalizia kwa nyumba moja inayosemekana kuwa ya wawili Hawa.
Kwa Mara ya kwanza, tazama Mtaachana tuu – Bahati Ft. Diana Marua video mpya kwa kubonyeza hapa chini
Video ( hauna maajabu – Lulu Diva)