Hauna maajabu – video mpya ya Lulu Divan
Hauna maajabu – video mpya ya Lulu Diva iko hewani. Mwanadada huyu japo huchukua mda kabla ya kuachia kazi, utakubalia na Mimi kwamba ana talanta ya kipekee na pia anajua kuandika.
Lulu Diva anajulikana sana kwa mipasho na nyimbo zake hupendwa sana ushwahili. Wengi huzicheza wakati wa sherehe na kwa kwale Lulu Diva ni malkia wa ushwahilini.
Tazama Hauna maajabu – video mpya ya Lulu Diva uweze kupata burudani ya kutaka na shoka
Tazama hii pia ( video mpya ya Mavoko; Wamoto)
3,356 total views, 2 views today