MzikiYoutube videos

Nyimbo mpya ya Rich Mavoko – Wamoto

Anga tayari imechafuliwa na Nyimbo mpya ya Rich Mavoko  – Wamoto. kwa mda sasa Mavoko amekuwa kimya na safari hii ameamua kuachia kichupa hatari. Kumbuka rich Mavoko alikuwa msanii ndani ya wasafi ila alijitoa baada ya kutoelewana na kampuni ya WCB.

Rich Mavoko - Wamoto Official Music Video

Wamato ni video iliyofanywa kwa ustadi na moja ya video zenye ubora zaidi. Kwa sasa kuna zaidi ya video sita mpya ziliachiliwa hivi karibuni zenye zinagonga vichwa vya habari ikiwemo video ya zuchu na Rayvann, lavalava – ipekeche, Mbosso -Fall na mda wowote diamond platnumz huenda akaachia video yake mpya na koffi Olomide.

nyimbo mpya ya Rich Mavoko

Iko kuitazama video mpya ya Rich Mavoko, Bonyeza hapa chini kwa link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *