Wini ft. Aslay – Unanikoleza
Wini ft. Aslay – Unanikoleza ni nyimbo Kali sana kutoka kwa wawili Hawa na naweza kusema muungano wao umeleta mazao. Aslay amekua kimya kwa mda na wengi walidhania labda bingwa huyu ameacha mziki.
Aslay ana talanta chungu mzima na kuna mda niliwahi kuongea na aliyekuwa producer wake shirko na aliweza kunijulisha kuwa kijana huyu ana uwezo wa kurekodi nyimbo bila hata kuandika lyrics.
Ana uwezo mkubwa sana na producers wenye wamekuwa wakifanya kazi naye wamekuwa na wakati mzuri sana na kusema kweli kufanya naye kazi imekuwa raha.
Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza, tazama video mpya ya Wini ft. Aslay – Unanikoleza na bila shaka utaipenda.
Diamond platnumz ft. Koffi Olomide
2,061 total views, 1 views today