MchipukoMzikiSanaa

Diamond platnumz ft. Koffi Olomide – Waah!

Diamond platnumz ft. Koffi Olomide – Waah! imeachiwa hewani baada ya wawili Hawa kuonekana pamoja ndani ya studio. Tetesi za hapa na pale zinasema video ya nyimbo hii ishakamilika na wakati wowote huenda ikawaachiwa.

Ni juzi tu wawili Hawa walizua gumzo mitandaoni baada ya kuvaa nguo za ajaabu zinazofanana na mavazi ya kike. Kama unavyojua, diamond platnumz amekuwa akivaa mavazi ya kivyake kwenye video zake zenye amekuwa akiachia. Koffi Olomide naye kwa upande wake ikija ni kwa mavazi atakushangaza kila siku.

Diamond platnumz ft. Koffi Olomide - Waah!

Kulingana na nyimbo ya Diamond platnumz ft. Koffi Olomide – Waah!, Ni kazi iliyofanywa kwa makini sana na huenda ikapenya ulimwengu mzima. Hii ni kwa sababu diamond platnumz Anajulikana zaidi na koffi Olomide naye ana jina ulimwengu mzima.

Kwa sasa tunasubiria video ya wasanii hawa wawili ambayo kwangu Mimi Nina uhakika itakuwa video kubwa sana.

Kwa sasa unaweza ukaskiza kazi yao mpya kwa kubonyeza hapa chini kwa link ifuatayo.

Tazama hii pia ( nyimbo mpya ya Lavalava)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *