Rayvann ft. Zuchu – Number One official video

Rayvann ft. Zuchu – Number One official video ni nyimbo mpya ilioachiliwa leo na imeanza kupenya kwa mwendo wa Kasi. Kwa hii wiki, wasafi wameachikia kazi kadhaa ikiwemo fall yake Mbosso, Diamond na koffi Olomide na hiii ya Rayvann ft. Zuchu – Number One.

Hii inamaanisha kampuni ya wasafi watazidi kuwapa burudani wapenzi wa mziki wao. Zuchu amepata umaarufu kwa mda mfupi sana na bila shaka hii kazi yake na Rayvann huenda ikapata utazamaji zaidi ulimwengu mzima.

Kwa Mara ya kwanza, tazama video mpya ya Rayvann ft. Zuchu – Number One kwa kubonyeza hapa chini

 

 2,730 total views,  2 views today

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *