Leon Ongaya (Kiongozi) ashinda tuzo za Kalasha awards
Baada ya mashindano yaliyopamba moto, hatimaye Leon Ongaya (Kiongozi) ashinda tuzo za Kalasha awards. Ilikuwa furaha isiyo na kifani katika hoteli ya pride inn baada ya Mbura ( leon Ongaya kutangazwa mshindi.

Katika kitengo Cha Best lead actor, alikuwemo pia Luwi anayeigiza katika tamthilia ya Maria iliyoko citizen Tv. Maria citizen Tv pia walinyakua tuzo zikiwemo kipindi bora na pia yassim said kwa jina maaruufu Maria ambaye ni muigizaji mkuu akijipatia tuzo ya the best lead actress.

Maana wetu Tunawapongeza washindi wote kwa kazi nzuri waliyoifanya na tunaamini wataendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Zidi kufuatilia habari zetu kama zinavyochipuka.
Soma hii pia ( waigizaji wa tamthilia ya Maria citizen Tv )