Alicia keys ft. Diamond Platnumz | Wasted energy
Alicia keys ft. Diamond Platnumz | Wasted energy ndio habari ya mtaa. Magwiji Hawa wawili wameamua kutikisa ulimwengu baada ya kuachia nyimbo pamoja kwa jina wasted energy.

Ni nyimbo iliyongojewa kwa hamu sana na wengi hawakudhania wawili Hawa wangeweza kuangusha kazi kama hii. Alicia keys ni msanii kutokea marekani ila anapenda sana kujihushisha na mambo inayowahusu waafrika. Anazo hospitali barani afrika mbili zikiwemo nchini Kenya.

Diamond Platnumz naye anazidi kupaa kwenye sanaa na inaonekana ulimwengu mzima kwa sasa unamfahamu kuwa kuna msanii kwa jina diamond platnumz. Hii yote hutokana na bidii ya msanii mwenyewe.
Kuitazama kazi mpya, Alicia keys ft. Diamond Platnumz | Wasted energy , bonyeza hapa chini
Tazama hii pia ( diamond platnumz ft zuchu)