Mziki

Mediocre – Alikiba | Video mpya

Mediocre – Alikiba | Video mpya iliachika leo. Kulingana na mistari ya nyimbo hii, inaonyesha wazi kwamba imelenga diamond platnumz. Alikiba anaongelea vile diamond anapenda kufanya skedo ili ajulikane badala afanye mziki.

Tazama hii pia ( diamond platnumz X Alicia keys)

Alikiba anajisifia kuwa kwa mziki kwa miaka kumi na nane na bado mziki wake uko juu. Alikiba anamsihi diamond Platnumz kufanya mziki na kuweka masifa kando. Kings music ambayo inamilikiwa na msanii Alikiba iliwahi kusajili wasanii ila kwa Sasa baadhi ya hao wasanii wamehamia konde gang inayomilikiwa na harmonize.

Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza, pata nafasi ya kuitazama video hii,.  Mediocre – Alikiba | Video mpya

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *