Mziki

Anjella – Sina Bahati | Audio

Anjella – Sina Bahati ni nyimbo ambayo naweza sema imejaa hisia. Kama umekuwa ukifuatilia mziki wa bongo basi utakuwa unamfahamu anjella.

Nyimbo ya Anjella – Sina Bahati ni aina ya zile nyimbo ambazo wengi wanatamani kutazama video. Kumbuka Anjella ni msanii kutoka konde Gang na anajitahidi sana kushindana na wenzake kutoka label tofauti kama vile Zuchu na Nandy.

Kwa Mara ya kwanza isikize nyimbo mpya ya Anjella – Sina Bahati hapa mwangaza news kwa kubonyeza link ifuatayo.

Sina Bahati anjella mp3 download link

Soma hii pia : Historia ya Hamisa Mobetto

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *