MzikiYoutube videos

Nimekuzoea – Nandy

Nimekuzoea – Nandy ni nyimbo iliyokuwa isharekodiwa Ila video yake ilikuwa bado haijafanyika. Leo ndio hiyo video imeachika na Kulingana na utafiti wetu, Nimekuzoea – Nandy video imefanyiwa south africa.

Kuna wakati Nandy alikuwa anashindanishwa na Zuchu Ila ni kama saa hii ligi ya Zuchu ipo kiwango tofauti. Zuchu juzi ameachia video mpya kwa jina nyumba Ndogo na kwa sasa imepata utazamaji mkubwa sana.

Nimekuzoea – Nandy video ipo hewani na unaweza ipakua hapahapa mwangaza news.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *