MzikiSanaaYoutube videos

At ft. Anjella – Si Saizi yako

At ft. Anjella – Si Saizi yako ni nyimbo mpya tena nzuri iliyoachiliwa Leo. Nyimbo hii inawahusu wasanii wawili wenye Wana uwezo mkubwa sana. Kama umekuwa ukifuatilia Sanaa ya bongo kwa mda, utakuwa unamjua msanii AT.

Tunaweza sema huyu AT alikuwepo enzi za hapo awali na wengi walimfahamu kama mfalme wa mduara. AT amekuwa kimya kwa mda na nyimbo yake mpya na anjella itamrudisha kwenye game.

Anjella naye ni msanii kutoka label ya konde Gang na kwa sasa anafanya vizuri katika soko la mziki. Anajua anachokifanya na ligi yake ipo pale kwa akina Zuchu na Nandy.

Kwa Mara ya kwanza tazama video mpya ya At ft. Anjella – Si Saizi yako kwa kubonyeza Link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *