Wakenya waikosoa Nembo( Logo) mpya ya kituo Cha utangazaji Cha K.B.C
Wakenya waikosoa Nembo( Logo) mpya ya kituo Cha utangazaji Cha K.B.C ndio habari iliyogonga vichwa vya habari. K.B.C ni chaneli ya kwanza nchini kenya na wakenya wengi ambao kwa sasa ni watu wazima walipata burudani ya kipekee kupitia chaneli hii.
Wakati wa uongozi wa Kenyatta na Moi, KBC ndio ilikuwa chaneli ya kipekee na ilikuwa ikipeperusha matangazo sehemu zote za nchi. KBC imekuwa ikibadilisha Nembo zake na haijawahi tokea kwamba watu wamechukizwa nazo Ila hii mpya imezua mjadala.
Kupitia Facebook account, Amani Aila ambaye ni mtangazaji pia aliweka Nembo ama ukipenda Logo mpya ya KBC Na kutaka kujua maoni ya wakenya kuhusiana na ile logo. Wengi hawakuipenda kwani walidai inafanana na alama za Barabara.
Tazama msululu wa maoni ya wakenya hapa
Soma hii pia, je Kuna ukweli kuhusu uja uzito wa vera Sidika?