Maisha

Bado nampenda Ofweneke

Nicah ambaye ni msanii wa gospel Amesema kuwa bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ofweneke. Wawili hao waliachana na kila mtu akachukua mkondo wake wa maisha.

Nicah amesema kuwa hisia haziezi kuisha kwani aliwahi kuwa na uhusiano na mchekeshaji ofweneke. Nicah aliongeza kuwa kwa Sasa hana mwanaume mwingine kwa Sasa Ila hiyo isiwe sababu kuwa anatafuta mpenzi.

Japo wawili hao walipata mtoto pamoja, ofweneke aliweza kuendelea na maisha yake na tunavyoongea ako na mpenzi na wamepata mtoto pamoja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *