Polisi mmoja wa waliomteka nyara raia wa china
Afisa wa polisi auwawa katika makabiliano Kati ya polisi na wateka nyara. Inasemekana watu wanne akiwemo polisi walimteka huyo raia wa china na kudai laki moja ili kumuachia huru.
Polisi kutoka kikosi maalum waliweza kuwaua wote wanne huku wakipata pingu na bastola moja.
Inasemekana kwamba raia huyu kutoka china alitekwa nyara alhamisi, wiki iliyopita katika hoteli moja maarufu jijini Nairobi. Kesi iliwakilishwa kituo Cha polisi Cha kilimani kuhusu kupotea kwake na msako ukaanza maramoja
14,756 total views, 1 views today