MzikiYoutube videos

Baikoko – Mbosso ft. Diamond platnumz

Baikoko – Mbosso ft. Diamond platnumz  ndio habari ya mjini. Baada ya kungojea kwa mda mrefu imefika wakati mwafaka wa kuitazama video mpya ya Baikoko – Mbosso ft. Diamond platnumz.

Mbosso diamond platnumzbaikoko lyrics

Kusema kweli video yenyewe imefanywa kea ubora wa juu zaidi na kama kawaida wasafi label hawajatuangusha. Hii ni project ya kwanza ya Mbosso kufanya na boss wake diamond Platnumz.

Baikoko - Mbosso ft. Diamond platnumz

Kumbuka hivi majuzi Mbosso aliachia EPL yake akiwa amewashirikisha wasanii kadhaa. Hii itakuwa video ya kwanza katika hiyo album mpya yake.

Mbosso songs

Ni hivi majuzi tu Mbosso aliweza kuulizwa kea nini haijawahi fanya kolabo na boss wake ambaye ni diamond. Mbosso akasema Kazi zipo Ila hawajawahi kuamua ni Kazi gani ya kuachia mwanzo. Alinukuliwa akisema kwamba ile siku ataachiwa kazi na diamond atakuwa na furaha isiyo na kifani. Ina maana baada ya kazi yake mpya na Diamond, Mbosso ni mwenye furaha.

Mbosso new song

Kwa Mara ya kwanza tazama Baikoko – Mbosso ft. Diamond platnumz  kwa kubonyeza link ifuatayo.

Tazama hii pia ( jux ft Rayvanny)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *