MchipukoSanaa

Barnaba amechangia pakubwa kwenye mziki wangu; Diamond Platnumz

Unachotaka kufanikiwa kwenye Jambo, ni vizuri sana kuwahushisha wenzako wenye wako na uwezo zaidi yako. Kila Jambo huanza na hatua moja na wakati mwingi ukikataa kuelekezwa basi huenda ukakosa mwisho mwema.

Wakati diamond platnumz anaingia kwenye Sanaa ya mziki, barnaba alikuwa tayari anajulikana kimziki. Diamond alitamani sana kuwa kama barnaba. Kulingana na Salam s.k ambaye ni meneja wake diamond, Barnaba ndiye alikuwa judge wakati diamond platnumz alikuwa yuataka kujiunga na T.H.T.

Diamond naye anasema wakati anajuana na Barnaba, ilikuwa bado barnaba hajajulikana vile. Diamond aliipenda sana kuiga alichokuwa alifanya barnaba. Barnaba alikuwa hana kiburi Kulingana na diamond kwani siku moja aliwahi kumuomba guitar na Barnaba akamsaidia nayo. Barnaba anaponunua gari yake ya kwanza diamond anamuona na alitamani sana kuwa na gari. Siku moja diamond alishangazwa na Barnaba kwa kutumia taxi 🚖 wakati ilikuwa ni pesa nyingi kuliko daladala. Kwakwe Diamond aliona kama Barnaba anaharibu pesa.

Kulingana na diamond platnumz, ” “kamwambie” ambayo ilikuwa Nyimbo yake ya kwanza Ina vipengele kutoka kwa barnaba. Kutoka kwa barnaba, diamond alijufunza mengi sana na kusema kweli, Barnaba amechangia pakubwa kwenye mziki wa Diamond Platnumz.

Soma hii pia ( faida ya majani ya mapera)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *