Youtube videosMziki

Mbosso – Yalah video

Baada ya kuachia Ep yake kwa jina definition of love, Mbosso ameachia video moja moto sana. Video hii imeongozwa na hanscana na sio Kenny kama vile wengi tumezoea kuona kenny kwa video nyingi za label ya wasafi.

Hanscana amefanya Kazi nzuri sana naye Mbosso kama kawaida amefunika vilivyo. Mbosso – Yalah video itakuwa nyimbo yake ya kwanza kuachia video na nafikiri zingine zitafwata.

Tazama hii pia ( anjella ft harmonize- Kama)

Kwa Mara ya kwanza, tazama Mbosso – Yalah video kwa kubonyeza link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *