Mchipuko

Bishop Margaret Wanjiru alazwa hospitalini

Bishop Margaret Wanjiru ansemekana kulazwa hospitalini baada ya kupatikana na homa ya corona. Kulingana na gazeti ya The star, Bishop Margaret Wanjiru alialika wageni kumi na nane kwa nyumba yake kabla ya kulazwa hosipitali.

Bado haijajulikana kabisa watu hao kumi na nane walikuwa wanafanya nini ila kulingana na gazeti ya the star, nane kkati ya hawa watu kumi na nane wamepatikana na corona.

Bishop Margaret Wanjiru na vazi lake rasmi

Bishop Margaret Wanjiru na vazi lake rasmiKulingana na The star, Bishop Margaret Wanjiru amelazwa na kwa sasa ako kwa usaidizi wa oxygen. Hii ni baada ya waziri wa afya bwana Mutahi Kagwe kutangaza jana kuwa watu walio na virusi vya coronavirus wameanza kuongezeka ambapo jana watu themanini walipatikana na ugonjwa huu hatari. Kwa sasa kenya imefikisha elfu moja na zaidi watu walio na coronavirus

Kesi ya kwanza ya ugonjwa wa corona ilitangazwa mwezi wa march tarehe kumi na tatu hapa nchini Kenya. Kwa sasa watu hamsini wamepoteza maisha yao kutokana na homa hii.

Soma hii pia ( Majina Kamili ya waigizaji wa Maria)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *