Youtube videosMziki

Brown Mauzo – Body ft. Ndovu Kuu

Brown Mauzo ambaye kwa sasa ni mke rasmi wa mwanamitindo tajika vera sidika ameachia Kazi mpya akishirikiana na ndovu Kuu. Brown Mauzo – Body ft. Ndovu Kuu ndio mpango mzima.

Ndovu Kuu pia amekuwa akifanya vizuri kwenye soko la mziki. Aliwahi kuachia nyimbo aliyoongelea masomo ya K.U karibu afungwe.

Ili kuitazama video ya Brown Mauzo – Body ft. Ndovu Kuu bonyeza link ifuatayo upate burudani ya kukata na shoka.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *