Mchipuko

Bwanake Ruth matete aaga dunia

Ruth matete aliwahi kushiriki kwa tusker project fame miaka kadhaa iliyopita. Ni baada ya shindano Hilo ndipo walikutana naye John Apewajoye mzaliwa nchini Nigeria na huyo ndiye aliyeamua kufunga naye pingu za maisha.

Wawili hao wamekaa kwa mda Ila kifo kimewatenganisha. Kulingana na mkaribu, bwanake Ruth matete alikuwa anatayarisha gesi cooker baada ya kujaza upya. Inasemekana kuwa aligundua mtungi hiyo ya gesi ilikuwa na presha isiyokuwa ya kawaida hivo akaamua kupunguza presha kwa kuachia gesi kiasi nje kwa usalama.

Yote haya aliyafanyia kwenye balcony ambapo palikuwa na nguo zilizokuwa zimeanikwa. Kwa bahati mbaya aliweza kuvaa mojawapo za nguo hizo bila kujua ziliweza kupata gesi. Aliporudi jikoni na kuwasha jiko lake la gesi, Moto ulitapakaa kila sehemu na kushika nguo zake.

Hamisa Mobetto na Alikiba

Aliweza kuchomeka kiasi Cha asilimia kubwa ambapo ilibidi apelekwe hospitali kwa matibabu. Kwa wiki iliyopita amekuwa akipokea matibabu Ila siku ya jumamosi alipoteza maisha.

Pole sana Ruth matete kwa yalikufika ila tunaamini mungu anazo sababu za matukio hayo. Mungu azidi kukupa nguvu wakati huu wa msiba.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *