Mchipuko

Ken walibora aiaga dunia

Ken walibora ni mwandishi aliyesifika sana. vitabu vyake vishatumika sana na wizara ya elimu hapa nchini Kenya. Siku njema ni kitabu chake kimoja chenye sifa tele na wanafunzi wengi waliweza kukisoma na sio wanafunzi tu, wengi walipenda vitabu vyake.

Soma hii pia (Bwanake Ruth matete aaga dunia)

Inasemeka kuwa Ken walibora aligongwa na gari na tokea ijumaa alikuwa akitafutwa kwani tokea atoke ofisi siku hiyo hajawahi patikana. Juhudi za kumtafuta zilizaa matunda leo lla kwa kilio kwani alipatikana kwenye chumba Cha kuhifadhia maiti.

Habari zaidi zasema kuwa askari wameanza kumsaka dereva anayesemekana kuhusika na hiyo ajali. Zidi kutegea hapa mwangaza na tukizipata taarifa zaidi tutazidi kukujuza Ila kwa sasa Tunawaombea familia yake katika wakati huu mgumu.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *