Cheketua – Barnaba ft. Alikiba
Cheketua – Barnaba ft. Alikiba ni nyimbo ambayo kwa sasa iko kwenye trend. Nyimbo hii ni ya gwiji wawili na kama unafiatilia historia ya bongo flava, basi utakuwa unawafahamu wawili hawa.
Alikiba na barnaba wanajulikana kwa sauti zao tamu na kusema kweli mziki wanaelewa kwani hata kwa kuandika nyimbo wanaweza sana.
Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Cheketua – Barnaba ft. Alikiba hapa mwangaza news
Soma hii pia : historia ya alikiba