Country Wizzy – Say | Audio
Country Wizzy ni msanii wa konde Gang inayoongozwa na Harmonize. Ni mmoja wa wale wasanii ambao harmonize aliamua ku unfollow ndani ya Instagram page yake.
Country Wizzy amekuwa akifanya mziki mzuri na nyimbo yake mpya ya say ni Kazi moja iliyofanyika kwa makini zaidi na huenda ikapenya zaidi.
Ili kusikiza nyimbo mpya ya Country Wizzy – Say, bonyeza link ifuatayo upate burudani ya kukata na shoka.