MzikiSanaa

Diamond Platnumz – Samia Suluhu

Diamond Platnumz – Samia Suluhu ndio Kazi mpya ya msanii ambaye ni namba moja afrika mashariki. Nyimbo hii inamsifia Rais wa muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu.

Kutoka aingie uongozini, mama Samia Suluhu amefanya Kazi kubwa sana na kusema kweli anafuata nyayo za aliyekuwa Rais wa tanzania John pombe magufuli. Kama alivyotangulia kusema magufuli, hapa Kazi tu.

Pata nafasi ya kusikiza Kazi ya Diamond Platnumz – Samia Suluhu hapa mwangaza news kwa Mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *