Youtube videosMzikiSanaa

Macvoice – Nampenda

Macvoice – Nampenda ni nyimbo Kati ya zile nyimbo zilipo kwenye my voice Ep. Kama umekuwa ukifuatilia, msanii huyu amepata promo kutoka kwa wasanii wote wa wasafi. Hii ni ishara kwamba msanii huyu ni project ya wasafi.

Macvoice ana sauti kama ya Rayvanny na kama hujatazama picha yake basi utadhani unasikiza Rayvanny. Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza sikiza nyimbo ya Macvoice – Nampenda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *