Youtube videosMziki

Diana Bahati – One day | Video

Kama ulidhania Diana Marua alikuwa aachane na mziki kwa comment  alizozipata basi umenoa. Diana Bahati – One day ndio nyimbo yake ya pili na tayari iko hewani.

Diana bahati ameingia kwenye mziki juzi na anaonekana kuendelea na mziki mpaka kieleweke. Ili kuweza kuitazama video ya Diana Bahati – One day bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *