Youtube videosMziki

Dogo Janja ft Mimi Mars – Shindulia Chini

Wengi wanamuita mtoto wa Madee lakini saa hii ashakuwa mkubwa na anafanya Kazi kubwa. Dogo Janja ft Mimi Mars – Shindulia Chini ndio Kazi yake mpya. Video imefanyika kwa makini zaidi bila kusahau mchango wa Mimi Mars.

Mimi Mars ni dadake Vanessa mdee ambaye hivi sasa aliachana na mziki na kuolewa na Rotimi gwiji wa filamu huko marekani.

Ili kuitazama video mpya ya Dogo Janja ft Mimi Mars – Shindulia Chini, bonyeza link ifuatayo ili uwe wa kwanza kupata burudani ya kipekee. Zidi kufuatilia habari zetu hapa mwangaza kwa matokeo ya hapa na pale.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *