Youtube videosMziki

Nandy & Sho Madjozi – Kunjani

Kama Kuna msanii wa kike mwenye hujituma ni Nandy. Mwanadada huyu hufanya bidii sana kwani bila hata management tajika, yeye bado anazidi kupaa. Nandy & Sho Madjozi – Kunjani ndio Kazi yake mpya.

Sho madjozi ni msanii kutoka afrika kusini na anasemekana ana chemichemi za kibongo. Aliwahi kuwika sana na nyimbo yake ya John Cena na hapo ndipo wengi walimfahamu msanii huyu wa kike.

Sho madjozi huwa hana maringo na yeye hufanya Kazi na wasanii wengi wa afrika mashariki. Kumbuka ashawahi kufanya Kazi na Mario iliyojulikana kama mama Amina.

Kwa Mara ya kwanza pata nafasi ya kusikiza wimbo wa Nandy & Sho Madjozi – Kunjani hapa mwangaza news kwa kubonyeza link ifuatayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *