Youtube videosMziki

Harry Richie – Vaida Omwana Inyanya

Kama utakuwa maeneo ya Kenya, basi utakuwa unafahamu nyimbo ya Harry Richie – Vaida Omwana Inyanya. Japo sio wengi wanaoelewa lugha iliyotumika hapa, Vaida ni nyimbo ambayo imepata umaarufu mkubwa sana.

Harry Richie hakuanza mziki juzi ila nyimbo hii ya Vaida imemfungulia njia nyingi sana na Kwa sasa anatafutwa na wengi. Kumbuka alikuwa hajaifanyia video ila ilipogonga vyombo vya habari na kujulikana Kenya nzima, Harry Richie aliamua kuachaia video ya Vaida.

Ili kuitazama video ya Harry Richie – Vaida Omwana Inyanya, bonyeza link ifuatayo uwezo kupata burudani ya mwaka.

Video : Harry Richie – Vaida

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *