HistoriaMaisha

Historia ya Anjella

Siku hizi wasanii chipukizi kutoka nchi ya Tanzania wanachukua nafasi kubwa katika soko la mziki wa bongo. Historia ya Anjella ni mojawapo ya kuifutilia sana maana yeye na wengine wameingia kwa soko la mziki na kwa sasa wanatikisa ulimwengu mzima.

Majina kamili ya Anjella na je Anjella ana miaka mingapi

Anjella kwa majina kamili anajulikana kama Angelina Samson George. Anjella ana miaka 21 na ameonyesha wazi kwamba hata kama bado ni mdogo kuliko wasanii wengi wa kike nchini Tanzania, yeye ana uwezo mkubwa sana. Bidii na talanta yake ndio iliyomfikisha mahali alipo kwa sasa.

Anjella alizaliwa tarehe 3 mwezi wa October mwaka wa 2000. Wazazi wake walimpomzaa waliamua kumuita Angelina Samson George.

Nyimbo za Anjella

Masomo ya Anjella

Sio mengi yanayofahamika kuhusiana na masomo ya mwanadada huyu kwani kutoka ajulikane amekuwa akijuhushisha na mziki wake ila Kuna uwezekano kasomea nchi za nje.

Anjella alianza kugonga vichwa vya habari mwaka wa 2021. Hii ni baada ya harmonize kugundua talanta yake na ku sign naye katika konde music worldwide kama msanii ambaye ana umri mdogo sana katika label yake.

Nyimbo za Anjella

Kwa sasa ameachia nyimbo tatu zinazofanya vizuri sana zikiwemo colabo na harmonize na pia singles. Nyimbo za Anjella ni

1. Kama akishirikiana na harmonize

2. Nobody

3. All night

Mpenzi au mchumba wa Anjella

Kwa sasa ni machache yanayojulikana kuhusiana na mpenzi ama mchumba wa Anjella. Hii ni kwa sababu mpaka sasa hajawahi post mpenzi wake kwa mitandao na huchukua wakati wake mwingi ku market kazi yake ya mziki

Utajiri wa Anjella

Ni mapema sana kuweza kufahamu utajiri wa Anjella kwani ni juzi tu ameingia kwenye mziki. Tuna uhakika kwamba mziki wake ushamuingizia hela kwa sasa kwani huwa anatokea kwa tamasha mbalimbali. Mziki wake wasikizwa Sana na hii inamanisha anapata pesa kupitia download na pia YouTube channel yake.

Anjella ana miaka mingapi

Hiyo ndiyo historia ya Anjella kwa sasa. Kwa mengi zaidi kuhusiana na wasanii wengineo usisahau ku subscribe mwangaza news.

Soma pia historia ya Ibraah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *